DOWNLOAD  $0.99

Fiqhi ya Ibada - Swala

  Fiqhi ya Ibada - Swala icon

  Fiqhi ya Ibada - Swala

  by: 0 0

  DOWNLOAD  $0.99

  Screenshots

  Description

  Swala ‘Fiqhi Ibada yenye picha’

  Lengo la ‘Taqbiiq’ hii ni kumfikia mwanafunzi na kujua sifa ya swala ya Mtume kuanzia kwenye takbiir hadi kwenye salamu kama kwamba Mtume (Swala LLahu ‘Alayhi wasallam) yu baina yetu tunasoma moja kwa moja kutoka kwake. Msomaji atasoma sifa ya swala, fadhila zake, hukumu zake, nguzo, yaliyokuwa lazima kufanywa na sunna zake, yaliyoruhusiwa na kukatazwa na yenye kubatilisha swala, kuanzia adhana hadi iqama; hukumu zake na fadhila zake, sharti na sunna zake. Kisha baada ya hapo huangalia shari za swala sharti baada ya sharti kwa uwazi kabisa na ufafanuzi mzuri, kisha sujudi ya kusahau na ya kushukuru na ya kisomo, baada ya hapo swala ya jamaa na yanayohusiana na uimamu na maamuma, kisha kuna sehemu maalum kwa ajili ya swala ya ijumaa, sifa yake hukumu zake na kila kinachohusiana nayo. Mwishowe kwa njia ya ishara inaelezea swala za sunna, swala ya kuomba mvua, kupatwa kwa mwezi na jua na swala ya idi mbili nay a jeneza.

  www.fiqhiswahili.com

  Nakala iliyotimia ya ‘Tatbiiq’ ya fiqhi Ibadat yenye picha inakusanya yafuatayo:

  1-Zaidi ya video 55 za mafundisho
  2-Kiasi cha masomo 57
  3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho

  Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo:

  1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali.
  2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu
  3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma
  4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea.
  5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe.
  6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo.

  Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah.

  Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu

  Tags: swala ya jamaa