DOWNLOAD  $0.99

Fiqhi ya Ibada - Tohara

  • SEARCH TYPE
  Fiqhi ya Ibada - Tohara icon

  Fiqhi ya Ibada - Tohara

  by: 0 0

  DOWNLOAD  $0.99


  Screenshots

  Description

  Tohara yenye picha: ni sehemu katika mradi wa ‘Fiqhi Ibada yenye picha’

  Lengo la ‘Taqbiiq’ utekelezaji huu ni kumfikia mwanafunzi na kujua kila lenye kugusa tohara; hivyo kuiangalia tohara katika pande zake za kimaana na kihisia, kuanzia Najisi, maana na aina zake, kisha utumwa, aina na hukumu zake, kukidhi haja na hukumu zake, na kinachopasa kwake, yenye kupendeza na yenye kuchukiza, pamoja na maelezo mafupi kuhusu istinjaa (Kustanji) na istijmaar (Kutamba). Maelezo na somo linaendelea hadi kwenye suna za maumbile kutoka moja hadi nyingine kwa uwazi kabisa, kisha anasimama kwa msomaji kwenye udhu na kumfahamisha sifa yake, hukumu, fadhila zake, fardhi zake, sunna zake na zenye kutengua na yote yenye kuhusiana na kupangusa katika soksi na khofu mbili, hogo, asali na tayamum na mwishowe ‘Tatbiiq’ kinachohusu tohara ya mwanamke katika hedhi, Istihadha (hedhi ya ugonjwa), nifasi kwa uwazi zaidi na ufafanuzi wenye kutosheleza.
  www.fiqhiswahili.com
  Nakala iliyotimia ya ‘Tatbiiq’ ya fiqhi Ibadat yenye picha inakusanya yafuatayo:

  1-Zaidi ya video 55 za mafundisho
  2-Kiasi cha masomo 57
  3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho

  Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo:

  1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali.
  2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu
  3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma
  4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea.
  5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe.
  6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo.

  Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah.

  Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu