DOWNLOAD  $0.99

Fiqhi ya Ibada - Zakat

  Fiqhi ya Ibada - Zakat icon

  Fiqhi ya Ibada - Zakat

  by: 0 0

  DOWNLOAD  $0.99

  Screenshots

  Description

  Zakat yenye picha: ni sehemu katika mradi wa ‘Fiqhi Ibada yenye picha’

  Tatbiiq hii inahusika na Zakat na vinavyohusiana navyo katika mas-ala ya kumuelekeza mwanafunzi jinsi gani anavyoweza kuitekeleza; humfundisha maana ya Zakat, sifa yake, fadhila zake, hukumu zake, kisha baada ya hapo aina za Zakat zinazotolewa ardhini, Zakat ya fedha na Zakat za biashara, Zakat za wanyama na Zakat za deni na za kumaliza utumishi wa mtu kazini na mifano namna hiyo ya Zakat. Kila kimoja kinaelezewa maana yake, hukumu na sharti zake na kiwango kinachotolewa na wenye kustahiki kutoa Zakat hizo na wenye kustahiki kupokea. Mwisho kimetengwa sehemu kuhusu Zakatul-Fitr na inabainishwa hukumu yake na wakati wa kutolewa kwake na kiwango kinachotakiwa kutolewa, baada ya hapo inamaliziwa kwa sadaka na hukumu, taratibu zake na faida zake.

  www.fiqhiswahili.com

  Nakala iliyotimia ya ‘Tatbiiq’ ya fiqhi Ibadat yenye picha inakusanya yafuatayo:

  1-Zaidi ya video 55 za mafundisho
  2-Kiasi cha masomo 57
  3-Mamia ya picha yenye maelezo na mafundisho

  Fiqhi hii ya utekelezaji inasifika kwa yafuatayo:

  1-Uwezekano wa kutafuta Nasw yoyote, pamoja na uwezo wa kutafura aya na Hadithi mbali mbali.
  2-Chaguzi mbali mbali za vyombo vya uratibu
  3-Uwezo wa kuweka mwanga wakati wa kusoma
  4-Viweko ambayo unaweza kuweka masomo yaliyokupendezesha na video mbali mbali kwa urahisi wa kuyarejea.
  5-Urahisi wa utumaji wa uyapendayo kwa marafiki zako kwa njia ya barua pepe.
  6-Rafiki zako kushiriki kwa yale yanayokupendeza katika programu katika tovuti za kijamii kama vile face book na twiter na nyinginezo.

  Kama ambavyo ‘Tatbiiq’ hii imefasiriwa kwa zaidi ya lugha tano, nazo ni: (Kiingereza, Kifaransa, Kichina, Ki-indonesia, Kibengali, Kifursi, Kirusi, Kitajiki, Kiurdu, Kihausa, Kiswahili, Kihispania, Kireno, Kijerumani, Kihamhari) baadhi zimeshateremshwa na nyinginezo zinafuatia utekelezaji wake InshaAllah.

  Fiqhi ya Ibada iliyokuwa na picha-Ni lazima kwa Kila nyumba ya Muislamu